Numeri Swahili

Valore Parola Valore Parola
0 Sifuri 50 Hamsini
1 Moja 51 Hamsini na moja
2 Mbili 60 Sitini
3 Tatu 61 Sitini na moja
4 Nne 70 Sabini
5 Tano 80 Themanini
6 Sita 90 Tisini
7 Saba 100 Mia
8 Nane 101 Mia na moja
9 Tisa 111 Mia na kumi na moja
10 Kumi 112 Mia na kumi na mbili
11 Kumi na moja 1000 Elfu
12 Kumi na mbili 2000 Elfu mbili
13 Kumi na tatu 3000 Elfu tatu
20 Ishirini 10.000 Elfu kumi
21 Ishirini na moja 100.000 Laki
30 Thelathini 1.000.000 Milioni moja
31 Thelathini na moja -a kwanza
40 Arobaini -a pili
41 Arobaini na moja -a tatu
42 Arobaini na mbili -a nne